Katika sehemu ya pili yamahojiano haya yakujua zaidi kuhusu kiini cha virusi hivi na jinsi yakupata kinga, Idhaa ya Kiswahili ya SBS ilizungumza na mtaalam wa magonjwa yakuambukiza, anaye fanya kazi katika moja ya hospitali kubwa nchini Australia, ambako waathiriwa wa virusi hivyo wanapokea matibabu.
Je utaratibu wakufanyiwa vipimo nakupata matibabu ya coronavirus ni upi?

CSIRO scientists research coronavirus in Victoria. Source: AAP
Idadi ya watu watatu wamefariki nchini Australia, na takriban watu 100 wanakabiliana na virusi vya coronavirus nchini.
Share