Je! kwa watu ambao wanajipata katika hali kuwa huenda ni watu wakaribu wa mtu ambaye amepatwa na coronavirus, ni taarifa gani ambayo huwa wanapewa, ni hatua gani huwa wana fuata punde baada yaku arifiwa kuhusu hali hiyo na watu hao huwa wanajihisije?
Idhaa ya Kiswahili ya SBS ilizungumza na mmoja wa watu hao, ambaye aliweka hazi masaibu aliyo pitia tokea alipo pokea taarifa kuwa lazima ajitenge kwa sababu ni mtu wa karibu wa aliyepatwa na COVID-19.