Je dini inaumuhimu gani wakati wa janga?

Pastor John na Pascasie Omari

Pastor John na Pascasie Omari Source: Pastor John Omari

Janga linapotokea watu wengi humkaribia Mungu kwa njia na nia tofauti.


Ila, unapoendelea kusali na hauoni ishara yoyote ya jibu, imani yako hutikiswa kiasi gani?

Mchungaji John Omari na mkewe Pascasie Riziki huwa wanahudumu katika kanisa la Jesus Family Centre (JFC) katika kitongoji cha Cabramatta, NSW, Australia. Kwenye mahojiano haya, walifafanua jinsi Mungu hujibu maombi, pamoja na jinsi muumini anastahili kuwa panapotokea janga /changamoto yoyote.

Je ulishawahi mkabidhi Mungu tatizo lako, na maombi yako yakajibiwa? Wasiliana nasi kwa barua pepe: swahili.program@sbs.com.au au changia uzoefu wako hapa: facebook.com/SBS Swahili


Share