Janga la COVID-19 la leta mageuzi kwa huduma ya ukalimani kupitia video katika mfumo wa Telehealth

Now, three-way video telehealth sessions, with an interpreter present, are revolutionising the Telehealth service.

Now, three-way video telehealth sessions, with an interpreter present, are revolutionising the Telehealth service. Source: SBS

Janga la COVID-19 lime sababisha changamoto maalum kwa mfumo wa afya wa Australia, baadhi ya changamoto hizo zikijumuisha jinsi yakutoa chaguzi za huduma ya afya kwa simu pamoja najamii zenye tamaduni tofauti.


Kwa sasa huduma ya afya kupitia mitambo ya video ambako mkalimani anashirikishwa, inabadili jinsi huduma hiyo inatolewa.

Na unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii sbs.com.au/coronavirus


Share