Janga la Corona lina athari gani kwa afya ya akili?

Afya ya akili wakati wa janga la COVID-19

Afya ya akili wakati wa janga la COVID-19 Source: AAP

Janga la Coronavirus limesababisha changamoto nyingi katika maisha ya kila siku ya watu duniani kote.


Je kwa wanajamii wanao kabiliana na matatizo ya afya ya akili, janga hili limesababisha madhara gani katika hali yao ya maisha?

Bw Gabriel ni mwanafunzi wa masomo ya saikolojia, aliweka bayana jinsi janga hili limeathiri afya ya akili katika mazungumzo maalum na mtayarishaji wetu wa vipindi Frank Mtao.


Share