Idhaa ya Kiswahili ya SBS ilizungumza na mmoja wa viongozi katika jamii yawakenya Bw Muchiri, ambaye aliweka wazi jinsi janga la coronavirus lime athiri jamii yake, pamoja na msaada ambao jamii yake inatoa kwa wanachama ambao wame athirika hususan wanafunzi wakimataifa.
Jamii yawakenya jimboni Victoria, yawafungulia milango wanafunzi wakimataifa

Mtaa wa Flinders Street, mjini Melbourne ukiwa chini ya vizuizi. Source: AAP Image/Daniel Pockett
Jamii yawakenya imechukua hatua zakuwanusura, wanachama walio athiriwa na janga la COVID-19 jimboni Victoria.
Share