Hofu yaongezeka kuhusu maambukizi ya COVID-19, katika sekta za huduma yawazee na huduma yawalemavu

Mtu mwenye ulemavu aosha masahani jikoni

Mtu mwenye ulemavu aosha masahani jikoni Source: Getty

Kuna hofu wafanyakazi wanao jumuika katika sekta ya huduma ya uzeeni na ulemavu, wanaweza kuwa wanasambaza COVID-19 katika jamii yawalemavu.


Tume yakifalme yawalemavu ilisikia ushahidi kuwa watu wenye ulemavu, wana ogopa kubaguliwa hususan katika swala lamatibabu.

Kwa sasa kuna wafanyakazi 80 na washiriki 37 walio ambukizwa COVID-19 katika sekta hiyo, takriban wote wakiwa jimboni Victoria.

Na unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus


Share