Grace:"Kufungwa mpaka wa VIC-NSW, kuna usumbufu lakini nikwa maslahi yetu"

Magari yapiga foleni kukaguliwa katika kizuizi cha polisi

Magari yapiga foleni kukaguliwa katika kizuizi cha polisi katika mji wa mpaka wa Albury, NSW Source: Getty Images

Hatua yakufunga mpaka kati yajimbo la Victoria na New South Wales, kwa ajili yakudhibiti usambaaji wa Coronavirus imezua hisia mseto miongoni mwa wakazi wamajimbo hayo mbili.


Grace ni mkaazi wa mji wa mpakani wa Wodonga jimboni Victoria, ame eleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS jinsi amri yakufunga mpaka kati yajimbo lake na jimbo jirani la New South Wales, ilivyo badili maisha yawakazi wa miji ya mpakani.

 


Share