Wakati wa Australia wengi wanatarajia kupokea chanjo ya AstraZeneca, dozi kadhaa za chanjo hiyo zime wasili tayari mjini Sydney.
Dozi za kwanza za chanjo ya coronavirus za AstraZeneca zawasili nchini

Chanjo za kwanza za coronavirus za AstraZeneca zawasili katika uwanja wandege wakimataifa wa Sydney, Jumapili, 28 Februari, 2021. Source: AAP
Australia imerekodi siku nyingine bila kuwa na kesi ya maambukizi yoyote ya virusi ndani ya jamii.
Share