Dj Deklack afunguka kuhusu kazi yake na Sudi Boy

Dj Deklack

Dj Deklack Source: Dj Deklack

Dj Deklack ni maarufu sana katika vilabu vingi nchini Australia.


Ila hivi karibuni aliwashangaza wapenzi wa kazi zake, kwakutoa wimbo na msanii maarufu nchini Kenya Sudi Boy, kwa jina la Mambo Madogo.

Katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, Dj Deklack aliweka wazi alivyo anza kazi yau Dj pamoja nakuachia nyimbo na waimbaji maarufu.


Share