Mwito mpya umeihamasisha serikali ya shirikisho iongeze msaada wake, kufuatia kutolewa kwa takwimu zinazo zua hofu ambazo, zimeweka wazi madhara kwa watu ambao wako hatarini.
Data mpya yamulika magumu yanayo wakabili wahamiaji wa muda nchini Australia

Renata Tavares Silva Source: SBS
Wakati athari za janga la coronavirus zinakaba sehemu za uchumi, taarifa mpya imemulika kiwango cha magumu yanayo wakabili wahamiaji wa muda nchini Australia.
Share