Coronavirus yazua changamoto kwa sherehe za Eid

Wanawake wachangia chakula wakati wa Eid nchini Burundi

Wanawake wachangia chakula wakati wa Eid nchini Burundi Source: Getty Images

Waislamu kote nchini Australia wameshiriki katika sherehe zaki historia za Eid.


Bw Jay alieleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS, kuhusu sherehe hizo zakihistoria za Eid, ambazo zime zua hisia mseto katika jamii yawa Islamu nchini Australia na duniani kote.


Share