Coronavirus yawalazimisha wageni waalikwa kufuatilia harusi mtandaoni

Wageni waalikwa wafuatilia harusi kwenye mtandao wa Zoom

Wageni waalikwa wafuatilia harusi kwenye mtandao wa Zoom Source: Supplied

Maandalizi yakuhudhuria harusi yalikuwa yamekamilika, ila Coronavirus ikasambaratisha mipango yote.


Vizuizi vya serikali kwa ajili yakuzuia usambaaji wa maambukizi ya coronavirus, vilimaanisha mipango mbadala yakushiriki katika harusi ilihitajika haraka.

Dr Jane alichangia uzoefu wake, waku hudhuria harusi yake ya kwanza mtandaoni alipo zungumza na Idhaa ya Kiswahili ya SBS.


Share