Katika anga ya mji wa Berlin nchini Ujerumani, kuna ndege zisizo na rubani zinazo tumiwa na maabara za Ujerumani, zinazo tumiwa kupunguza muda unao tumiwa kusafirishwa vipimo vya coronavirus mjini humo, hatua ambayo inakwepa msongamano wamagari barabarani.
Tukifanya tathmini, mwaka wa 2020 unatukumbusha kuwa sayansi na madawa yananguvu sana kuliko kabla.