Blaise "Sijawahi ona uchaguzi ambao unaongozwa kwa taarifa za uongo kama huu wa Ndio au La"

VOICE REFERENDUM CANBERRA

The Australian Parliament House is seen behind the Australian flag and the Indigenous flag in Canberra, Saturday, October 14, 2023 Source: AAP / LUKAS COCH/AAPIMAGE

Kiwango cha ushindi wa kampeni ya 'La' katika kura ya maoni ya Sauti yawa Australia wakwanza Bungeni, kime zua gumzo kote nchini.


Kampeni za Ndio na La, zimeshtumiwa kwa kusambaza taarifa zakupotosha kwa ajili yaku pata ushindi debeni.

SBS Swahili ilizungumza na mwanasheria Bw Blaise Itabelo, ambaye ame wahi wania udiwani katika halmashauri ya jiji la Logan, Queensland. Bw Itabelo aliweka wazi baadhi ya mbinu ambazo wanasiasa hutumia katika kampeni zao za uchaguzi.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share