Biashara ndogo zapata pigo, katika vita dhidi yavirusi vya corona

Timu ya Mukasa Brothers Production kazini

Wamiliki wakampuni ya Mukasa Brothers Production pamoja na wafanyakazi wajiandaa kuanza kazi Source: Mukasa Brothers Production

Hatua za serikali ya taifa kukabili usambaaji wa virusi vya corona zimesababisha kufungwa kwa baadhi ya biashara ndogo katika jamii.


Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Mukasa Brothers Production, Papi Mukasa alieleza Idhaa ya Kiswahili jinsi kampuni yake imepokea hatua za serikali kukabili virusi hivyo pamoja, na madhara ya hatua hizo kwa kazi anazo fanya pamoja na hatma ya wafanyakazi wake.


Share