Baraza lamawaziri wakitaifa lajadili ndege za dharura kwa wa Australia ambao wako India

A flight with Indian flag

接載印度移民及國民包機抵達達爾文。 Source: AAP

Safari za ndege za dharura zina andaliwa kwa niaba yawa Australia ambao wamekwama nchini India baada ya 15 Mei ila, waziri mkuu wa wilaya ya kaskazini amesema, marufuku ya usafiri yanastahili ongezwa hadi mwisho wa Mei au hata jadi Juni.


Baraza lamawaziri wakitaifa limejadili swala hili, pamoja na karantini ya hoteli na ukiukwaji wa COVID-19 katika uwanja wa ndege wa Brisbane.

Kwa hatua za afya na msaada ambao upo kwa sasa, katika jibu la janga la COVID-19 katika lugha yako, tembelea tovuti hii sbs.com.au/coronavirus


Share