Mkutano huo ulifanyika katika siku ambayo viwanja vya ndege vya New Zealand, vilikuwa na shughuli nyingi baada ya mpango wa usafiri kati yamataifa hayo mawili ya eneo la Tasman kufunguliwa tena.
Baraza lamawaziri lakitaifa lakutana, wakati safari za eneo la Trans Tasman zaanza tena

Sheria za mipaka ya Australia, zaregezwa, safari zikianza kati ya Australia na New Zealand. Source: AAP/Dean Lewins
Baraza lamawaziri lakitaifa lilikutana jana kwa mara ya kwanza, tangu wakati mikutano ya mara mbili kwa wiki ilipotangazwa, kwa ajili yakurejesha mradi wakitaifa wa chanjo katika mwelekeo unao faa.
Share