Katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, A.T.M Jeff aliweka wazi masaibu yanayo mkabili, nakupunguza kasi yakukuwa kwake kimziki.
A.T.M Jeff: Mziki umeniokoa baada ya ajali ya gari

Bango la wimbo mpya wa A.T.M Jeff Source: A.T.M Jeff
Mwaka huu umekuwa mgumu sana kwa msanii A.T.M Jeff kutoka Perth, Magharibi Australia.
Share