Bw Trump alithibitisha taarifa hizo kupitia mtandao wa Twitter, taarifa hizo zikijiri masaa machache baada ya taarifa kusambaa, kuwa msaidizi wake wa karibu Hope Hicks ame patwa na Coronavirus.
Bw Trump ame andika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa, "yeye pamoja na mkewe watasalia katika karantini ndani ya ikulu", ambako ataendelea kuongoza serikali.