Hatua tatu za mpango salama wa COVID
Serikali ya Australia imetangaza mpango wa hatua tatu wa kuondoa vikwazo vya msingi na kuifanya Australia kuwa salama kwa janga la COVID.
Majimbo na vitongoji vitapitia kati ya hatua hizo kwa nyakati tofauti, kulingana na hali yao ya afya kwa umma na hali ya kawaida.