Maelfu wapiga foleni kupokea chakula Afrika Kusini
Video imeonesha maelfu yawatu wakipiga foleni kupokea vifurushi vya chakula, katika mji wa Centurion, ambao umewekewa vizuizi vya Coronavirus katika taifa la Afrika Kusini. Foleni hiyo ina umbali wa kilomita 4.

Source: Reuters
Share
Published
Share this with family and friends