Feature

Jinsi yakutazama Kombe la Dunia 2022ᵀᴹ la FIFA MUBASHARA na BURE LIVE kupitia SBS

Kombe la Dunia 2022ᵀᴹ la FIFA lita anza nchini Qatar Jumatatu Novemba 21 na SBS pekee ndiyo itaonesha mechi zote kwa mashabiki wa kandanda nchini Australia. Hii hapa taarifa ya kila kitu unastahili jua kuhusu, jinsi yakufuatilia michuano hiyo pamoja nakutazama mechi zote 64 mubashara na bure.

Cristiano Ronaldo of Portugal, Australia's Aaron Mooy, Lionel Messi of Argentina and France forward Kylian Mbappe

Cristiano Ronaldo of Portugal, Australia's Aaron Mooy, Lionel Messi of Argentina and France forward Kylian Mbappe will all be in action at the 2022 FIFA World Cup in Qatar.

Tengeza  iliuweze tazama mechi zote 64 za Kombe la Dunia 2022ᵀᴹ la FIFA mubashara na bure wakati wowote kwenye kifaa unacho pendelea.

Kombe la Dunia 2022ᵀᴹ la FIFA lita anza Jumatatu, Novemba 21 na lita peperushwa bure katika runinga ya SBS pekee nchini Australia.

Mechi zote 64 kutoka Qatar zitaoneshwa mubashara na bure, mechi nane zita oneshwa mubashara kupitia SBS VICELAND.

Kombe la Dunia 2022ᵀᴹ la FIFA lita anza lini?

Kombe la Dunia 2022ᵀᴹ la FIFA lita anza Novemba 21 na lita peperushwa bure na mubashara pekee kupitia SBS nchini Australia.

Tarehe na wakati wa mechi za Kombe la Dunia 2022ᵀᴹ la FIFA

Sherehe ya ufunguzi itatangulia mechi itakayo fungua michuano hiyo kati ya wenyeji Qatar na wapinzani wao katika kundi lao Ecuador. Hatua yamakundi itaendelea hadi mechi kati ya Serbia na Uswizi Disemba 3 (Masaa yamashariki Australia).
  • Hatua yamakundi: Novemba 21 - Disemba 3
  • Hatua ya 16: Disemba 4 - 7
  • Robo Fainali: Disemba 10 - 11
  • Nusu Fainali: Disemba 14 - 15
  • Mechi ya nafasi ya 3 vs 4: Disemba 18
  • Fainali ya Kombe la Dunia: Disemba 19
The 2022 FIFA World Cup will take place in Qatar
The 2022 FIFA World Cup will take place in Qatar Source: Getty / Getty Images
SBS na SBS VICELAND pekee ndizo zitapeperusha mechi zote 64, kutakuwa jumla yamasaa 500 yamakala ya Kombe la Dunia yatakayo peperushwa wakati wa michuano hiyo.

Kwa nyongeza ya mechi zote mubashara 64, nane ambazo zita peperushwa kupitia SBS VICELAND makala yetu yatajumuisha makala kama World Cup Daily na makala yautangulizi ya FIFA TV, mechi bora za zamani za Kombe la Dunia pamoja namarudio ya mechi kutoka Qatar 2022.

Mechi nyingi zitachezwa kwa wakati unao faa kwa mashabiki wengi wa Australia, mechi saba zamakundi zinatarajiwa kuanza saa 3 usiku (masaa yamashariki Australia) na mechi 20 zamakundi zita anza saa 12 asubui (masaa yamashariki Australia).

Makala ya World Cup Daily Show na makala yautangulizi ya FIFA TV Preview Show

Makala ya World Cup Daily yatakuwa sehemu ambako wa Australia wanaweza tazama kila kitu kutoka Kombe la Dunia la FIFA kila siku ya mechi.

Kila makala itajumuisha matukio mhimu katika mechi, uchambuzi wa kabla ya mechi, uchambuzi wa wataalam, mahojiano yakipekee pamoja na wageni nyota na taarifa mpya zote, maoni ya moja kwa moja kutoka Qatar, nchini Australia na duniani kote.

Makala ya The World Cup Daily show yatakuwa hewani kuanzia saa 11:30jioni (masaa ya mashariki Australia) kila jioni kwenye runinga ya SBS na yatafuatwa na makala ya FIFA TV Preview Show. Kwa mara ya kwanza makala yakidigitali ya VOD yata peperushwa kabla kupitia SBS On Demand.

Mechi bora za zamani za Kombe la Dunia la FIFA

SBS On Demand inapeperusha kuanzia mwaka wa 1986 hadi 2018 kuwaruhusu watazamaji kutazama baadhi ya mechi bora zaidi za zamani za soka.

Nyingi ya mechi hizo bora za zamani, zita peperushwa pia kupitia SBS na SBS VICELAND wakati wa Kombe la Dunia.

Tazama Kombe la Dunia 2022ᵀᴹ la FIFA kupitia SBS On Demand

Tazama kila mechi ya Kombe la Dunia 2022ᵀᴹ ya FIFA MUBASHARA na BURE kupitia SBS na .

Tazama Kombe la Dunia bure kwenye , TV zinazo ungwa au kupitia app zetu kutoka e na .

Jinsi yakupata akaunti ya SBS On Demand

Ni bure kabisa kuunda akaunti ya SBS On Demand

Kimsingi:
  1. Fungua On Demand app /
  2. Chagua Log in / Sign Up
  3. Chagua Create A New Account
  4. Weka maelezo yako,ukijumuisha: jina, barua pepe, jinsia na mwaka wako wakuzaliwa
  5. Chagua Create Account - utapokea barua pepe yakuthibitisha akaunti yako mpya ya SBS
  6. Furahia makala yetu tofauti kwa raha zako!
Kitengo cha The World Cup hub kwenye SBS On Demand kitawapa watazamaji fursa yakutazama mechi kutoka Qatar, fursa hiyo itajumuisha kutazama mechi mtandaoni mubashara katika Kiingereza na Kiarabu, marudio ya mechi, mechi zilizo fupishwa kwa dakika 25, dakika 10 maalum za mechi pamoja na dakika 3 zamatukio maalum ya mechi ya mechi zote 64.

Kuhakikisha haukosi matukio mazuri ya Kombe la Dunia, sasa ni wakati mzuri kuweka kumbusho za taarifa zinazo tumwa kwako ili ujue wakati mechi zinapeperushwa mtandaoni, matukio mhimu ya mechi pamoja na marudio ya mechi zita tumwa kwenye app ya SBS On Demand.

Kwanza, hakikisha umeruhusu kumbusho zitumwe kwenye kifaa chako.
  1. Bonyeza SETTINGS kwenye kifaa chako;
  2. Bonyeza kwenye app ya SBS On Demand;
  3. Benyeza kwenye push notifications.
Kisha, katika app ya SBS On Demand kwenye kifaa chako, bonyeza juu ya app kuinga kwenye ukurasa wa wasifu;
  1. Gonga APP SETTINGS;
  2. Gonga kitufe chini ya NEW EPISODES kuruhusu taarifa za makala mapya. Kitufe hicho kitageuka rangi ya njano taarifa zitakapo ruhusiwa.
  3. Gonga kitufe chini ya EXPIRING EPISODES kuruhusu taarifa kwa makala yanayo isha. Kitufe kitageuka rangi ya njano taarifa itakapo ruhusiwa.
Hatimae, hakikisha 'Kombe la Dunia la FIFA 2022' imeongezwa katika makala unayo penda "FAVOURITES". Kimsingi gonga kwenye ishara ya roho kwenye ukurasa wa programu katika kifaa chako kuongeza kwenye orodha ya vipindi unavyo penda. Uko tayari kutazama makala!

Kwa nyongeza kwa makala mubashara, matukio mhimu namarudio ya mechi kwenye SBS On Demand, tovuti mpya ya SBS Sport itakuwa nyumbani kwako, kwa matukio yote mhimu mapya ya mechi, mahojiano, video za ziada, taarifa, hadithi ndefu, maoni pamoja na maswala mhimu ya mjadala kutoka Qatar 2022.
World Cup 2022 mobile tvOS devices.png

Marudio kamili ya mechi

Hauta kosa dakika yoyote ya mechi kutoka Qatar, utaweza tazama marudio ya kila mechi katika Kiingereza na Kiarabu, pamoja na uchambuzi ndani ya studio na makala ya kabla na baada ya mechi kutoka kwa timu nyota zawatangazaji wa SBS.

Mechi fupi za dakika 25

Kwa kuzingatia usumbufu wa muda wa watazamaji, mechi zilizo fupishwa za dakika 25 zitatolewa pia kwa kila mechi ya michuano.

Matukio mhimu ya mechi ya dakika 10

Kutakuwa fursa nzuri yakutazama matukio mhimu ya dakika 10 ya mechi nzima kupitia SBS On Demand kwa mechi zote za kombe la dunia.

Matukio mhimu ya mechi ya dakika 3

Matukio mhimu ya dakika tatu ya mechi zote yata andaliwa pia kwa kila mechi kutoka Qatar 2022, watazamaji wakipewa fursa yakutazama dakika tatu za matukio bora ya mechi zote kupitia tovuti ya SBS Sport na SBS On Demand.

Mtandao wakijamii

Tazama kila mechi ya Kombe la Dunia 2022ᵀᴹ la FIFA MUBASHARA na BURE kupitia SBS na SBS On Demand. Kwa matukio yote mapya na taarifa mpya kutoka vipindi tofauti vya SBS Sports, tufuate kupitia SBS Sport .

Jumatatu, Novemba 21

Tarehe ya ufunguzi + Kundi A - Qatar v Ecuador

2:00am - 5:30am (AEST) - kickoff 3:00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Makala ya utangulizi ya Kombe la Dunia la FIFA 2022

10:30pm - 11:30pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand 


Group B - England v Iran 

11:30pm - 2:30am (AEDT) - kickoff at 00.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand

Jumanne, Novemba 22

Group A - Senegal v Netherlands

2:30am - 5:30am (AEDT) - kickoff at 03.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group B - USA v Wales

5:30am - 8:30am (AEDT)- kickoff at 06.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand


Group C - Argentina v Saudi Arabia 

8:30pm - 11:30pm (AEDT) - kickoff at 09.00pm

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group D - Denmark v Tunisia 

11:30pm - 2:30am (AEDT) - kickoff at 00.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand

Jumatano, Novemba 23

Group C - Mexico v Poland

2:30am - 5am (AEDT) - kickoff at 03.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group D - France v Australia

5:00am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:30pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand


Group F - Morocco v Croatia

8:30pm - 11:30pm (AEDT) - kickoff at 09.00pm

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group E - Germany v Japan 

11:30pm - 2:30am (AEDT) - kickoff at 00.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand

Alhamisi, Novemba 24

Group E - Spain v Costa Rica 

2:30am - 5:30am (AEDT) - kickoff at 03.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand 


Group F - Belgium v Canada

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand


Group G - Switzerland v Cameroon

8:30pm - 11:30pm (AEDT) - kickoff at 09.00pm

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group H - Uruguay v Korea Republic

11:30pm - 2:30am (AEDT) - kickoff at 00.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand

Ijumaa, Novemba 25

Group H - Portugal v Ghana 

2:30am - 5:30am (AEDT) - kickoff at 03.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group G - Brazil v Serbia 

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand


Group B - Wales v Iran

8:30pm - 11:30pm (AEDT) - kickoff at 09.00pm

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group A - Qatar v Senegal

11:30pm - 2:30am (AEDT) - kickoff at 00.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand

Jumamosi, Novemba 26

Group A - Netherlands v Ecuador 

2:30am - 5am (AEDT) - kickoff at 03.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group B - England v USA

5.30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand


Group D - Tunisia v Australia

7:30pm - 11:30pm (AEDT) - kickoff at 09.00pm

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group C - Poland v Saudi Arabia 

11:30pm - 2:30am (AEDT) - kickoff at 00.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand

Jumapili, Novemba 27

Group D - France v Denmark 

2:30am - 5:30am (AEDT)- kickoff at 03.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group C - Argentina v Mexico

5:30am - 8:30am (AEDT)- kickoff at 06.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand


Group E - Japan v Costa Rica

8:30pm - 11:30pm (AEDT) - kickoff at 09.00pm

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group F - Belgium v Morocco 

11:30pm - 2:30am (AEDT) - kickoff at 00.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand

Jumatatu, Novemba 28

Group F - Croatia v Canada 

2:30am - 5:30am (AEDT) - kickoff at 03.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand 


Group E - Spain v Germany 

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand


Group G - Cameroon v Serbia

8:30pm - 11:30pm (AEDT) - kickoff at 09.00pm

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group H - Korea Republic v Ghana

11:30pm - 2:30am (AEDT) - kickoff at 00.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand

Jumanne, Novemba 29

Group G - Brazil v Switzerland 

2:30am - 5:30am (AEDT) - kickoff at 03.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group H - Portugal v Uruguay

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Jumatano, Novemba 30

Group A - Netherlands v Qatar

1:30am - 4:30am (AEDT) - kickoff at 02.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group A - Ecuador v Senegal 

1:30am - 4:30am (AEDT) - kickoff at 02.00am

LIVE on SBS VICELAND and SBS On Demand


Group B - Wales v England

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group B - Iran v USA

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS VICELAND and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Alhamisi, Disemba 1

Group D - Australia v Denmark

1:00am - 4:30am (AEDT) - kickoff at 02.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group D - Tunisia v France

1:30am - 4:30am (AEDT) - kickoff at 02.00am

LIVE on SBS VICELAND and SBS On Demand


Group C - Poland v Argentina 

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group C - Saudi Arabia v Mexico

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS VICELAND and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Ijumaa, Disemba 2

Group F - Croatia v Belgium

1:30am - 4:30am (AEDT) - kickoff at 02.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group F - Canada v Morocco 

1:30am - 4:30am (AEDT) - kickoff at 02.00am

LIVE on SBS VICELAND and SBS On Demand


Group E - Japan v Spain 

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group E - Costa Rica v Germany

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS VICELAND and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Jumamosi, Disemba 3

Group H - Korea Republic v Portugal 

1.30am - 4:30am (AEDT) - kickoff at 02.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group H - Ghana v Uruguay 

1:30am - 4:30am (AEDT) - kickoff at 02.00am

LIVE on SBS VICELAND and SBS On Demand


Group G - Cameroon v Brazil

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Group G - Serbia v Switzerland 

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS VICELAND and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Jumapili, Disemba 4

Mzunguko wa 16 - 1A v 2B

1:30am - 4:30am (AEDT) - kickoff at 02.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Mzunguko wa 16 - 1C v 2D

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Jumatatu, Disemba 5

Mzunguko wa 16 - 1D v 2C

1:30am - 4:30am (AEDT) - kickoff at 02.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Mzunguko wa 16 - 1B v 2A

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Jumanne, Disemba 6

Round of 16 - 1E v 2F

1:30am - 4:30am (AEDT) - kickoff at 02.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Mzunguko wa 16 - 1G v 2H

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand

FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Jumatano, Disemba 7

Mzunguko wa 16 - 1F v 2E

1:30am - 4:30am (AEDT) - kickoff at 02.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Mzunguko wa 16 - 1H v 2G

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 02.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Alhamisi, Disemba 8

World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand

FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Ijumaa, Disemba 9

World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Jumamosi, Disemba 10

Robo Fainali - 1E/2F v 1G/2H

1:30am - 4:30am (AEDT) - kickoff at 02.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Robo Fainali - 1A/2B v 1C/2D

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Jumapili, Disemba 11

Quarter-Final - 1F/2E v 1H/2G

1:30am - 4:30am (AEDT) - kickoff at 02.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


Robo Fainali - 1B/2A v 1D/2C

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Jumatatu, Disemba 12

World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Jumanne, Disemba 13

World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Jumatano, Disemba 14

Nusu Fainali - QF2 v QF1

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Alhamisi, Disemba 15

Nusu Fainali - QF4 v QF3

5:30am - 8:30am (AEDT) - kickoff at 06.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Ijumaa, Disemba 16

World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Jumamosi, Disemba 17

World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand

FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Jumapili, Disemba 18

Mechi ya nafasi ya tatu - walio shindwa katika nusu fainali

1:30am - 4:30am (AEDT) - kickoff at 02.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand


World Cup Daily

5:30pm - 6:00pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


FIFA Preview Show

6:00pm - 6:30pm (AEDT)

On SBS and SBS On Demand

Jumatatu, Disemba 19

Fainali - Washindi wa Nusu Fainali

1:30am - 4:30am (AEDT) - kickoff at 02.00am

LIVE on SBS and SBS On Demand 


World Cup Daily

5:30pm - 6:30pm (AEDT)

LIVE on SBS and SBS On Demand


Schedule / timings are TBC, check your local guides

Sikiza na SBS Audio

SBS Radio App
Download the SBS Radio app Source: SBS

SBS Audio

Matangazo ya mechi zote yatafanywa katika Kiingereza na Kiarabu, pamoja na lugha mbili za ziada kupitia .

Share
Published 18 November 2022 5:13pm
By SBS Sport
Presented by Gode Migerano
Source: SBS / SBS Sport


Share this with family and friends