Sheria zakufunguliwa
- NSW yasogeza mbele kwa watu ambao wamepata chanjo kamili, kuanzia 1 Disemba nakurudishwa nyuma hadi 8 Novemba.
- NSW yaondoka masharti ya idadi ya watu wanao weza jumuika katika sehemu zotel, isipokuwa ndani ya vyumba vya mazoezi na katika madarasa ya densi. Uvaaji wa barakoa bado ni lazima katika sehemu za ndani kadi 15 December.
- Sheria kwa watu ambao hawaja chanjwa, jimboni NSW zitaregezwa 15 Disemba.
- Idara ya Afya ya Victoria imetoa taarifa ya ushauri, kwa jinsi ya watu binafsi .
- Kuanzia 23 Novemba, Kusini Australia itaondoa vizuizi vya mipakani, pamoja nakupunguza muda wa karantani hadi siku saba kwa wasafiri wakimataifa ambao wame pata chanjo kamili.
Utoaji wa chanjo
- Idara ya Afya ya Queensland inawasiliana na watu ambao .
Takwimu za UVIKO-19
- Victoria yarekodi kesi mpya 989 ndani ya jamii pamoja na vifo tisa.
- NSW yarekodi kesi mpya 173 ndani ya jamii pamoja na vifo vinne.
- ACT yarekodi kesi mpya 8 ndani ya jamii.
Karantini, safari, zahanati za vipimo na malipo ya janga
Karantini na masharti yavipimo husimamiwa nakutekelezwa na serikali zamajimbo na wilaya:
Kama unataka safiri ng'ambo, unaweza omba kibali mtandaoni. kwa taarifa zaidi kuhusu masharti yakuondoka Australia. Kuna hatua za mpito kwa safari zakimataifa ambazo hutathminiwa mara kwa mara na serikali, nakuchapishwa kwenye tovuti ya .
- Pata hapa habari na taarifa katika zaidi ya lugha 60
- Pata hapa miongozo inayo faa kwa jimbo au wilaya yako: , , , , , , .
- Pata hapa taarifa kuhusu .
Tazama rasilmali zilizo tafsiriwa za huduma yamawasiliano ya shirika la afya ya tamaduni nyingi ya NSW:
Zahanati za vipimo katika kila jimbo na wilaya:
Taarifa kuhusu malipo ya janga katika kila jimbo la wilaya: