- Masharti mapya ya chanjo kwa baadhi ya wafanyakazi wanao idhinishwa jimboni NSW
- Victoria yathibitisha kuwa muda wa makatazo jimboni humo uta ongezwa
- ACT yarekodi kesi mpya 13 ndani ya jamii
- Queensland yarekodi kesi moja ndani ya jamii katika karantini ya nyumbani
New South Wales
NSW imerekodi mesi mpya 1,218 ndani ya jamii, kesi 887 zikiwa katika maeneo ya magharibi na kusini-magharibi Sydney. Watu sita walifariki, nakufanya idadi kamili ya vifo vinavyo husishwa na COVID kufika 145.
Kuanzia Jumatatu 6 Septemba, wafanyakazi walioidhinishwa wanao ishi katika ila wanafanya kazi nje ya sehemu wanako ishi, wanastahili kuwa na angalau dozi moja ya chanjo ya COVID-19.
Kipaumbele cha miadi kwa chanjo ya COVID-19 kipo kwa na .
Victoria
Victoria imerekodi kesi mpya 92 ndani ya jamii, zikijumuisha kesi mpya 30 ndani ya jamii ambazo hazija ungwa na milipuko ya sasa.
Miongoni mwa kesi 778 zinazo endelea, takriban kesi 500 ziko katika maeneo ya kaskazini na magharibi ya Melbourne, kiongozi wa jimbo hilo Daniel Andrews amesema haitawezekana kumaliza makatazo tarehe 2 Septemba.
Hali ilivyokuwa nchini Australia katika masaa 24 yaliyo pita
- Queensland itafungua kituo chaku toa chanjo kwa watu wengi, ndani ya Brisbane Entertainment Centre katika eneo la Boondall kuanzia tarehe 8 Septemba.
- Waziri wa Afya Greg Hunt amesema utatoa ulinzi kwa wa Australia wanao pokea chanjo ambayo imepewa idhini ya TGA.
Karantini, safari, zahanati za vipimo na malipo ya janga
Karantini na masharti yavipimo husimamiwa nakutekelezwa na serikali zamajimbo na wilaya:
Kama unataka safiri ng'ambo, unaweza omba kibali mtandaoni. kwa taarifa zaidi kuhusu masharti yakuondoka Australia. Kuna hatua za mpito kwa safari zakimataifa ambazo hutathminiwa mara kwa mara na serikali, nakuchapishwa kwenye tovuti ya .
- Pata hapa habari na taarifa katika zaidi ya lugha 60
- Pata hapa miongozo inayo faa kwa jimbo au wilaya yako: , , , , , , .
- Pata hapa taarifa kuhusu .
Tazama rasilmali zilizo tafsiriwa za huduma yamawasiliano ya shirika la afya ya tamaduni nyingi ya NSW:
Zahanati za vipimo katika kila jimbo na wilaya:
Taarifa kuhusu malipo ya janga katika kila jimbo la wilaya: