- Kesi nyingi jimboni NSW, zina wahusu watu wenye chini ya miaka 40
- Kiongozi wa VIC atoa wito kwa viwango vya juu vya vipimo
- Kesi mpya kumi na saba ndani ya jamii zatambuliwa ACT
- Hakuna kesi mpya NT
New South Wales
NSW imerekodi kesi mpya 452 ndani ya jamii, kesi 50 zikiwa katika hali ambukizi zilipokuwa ndani ya jamii. Asilimia sabini ya kesi mpya ina wahusu watu wenye chini ya miaka 40. Mwanamke mwenye zaidi ya miaka 70 ambaye alikuwa haja chanjwa alifariki.
Wakaaji wa Lennox Head wame hamasishwa wapimwe wakati, wakati chembe chembe za COVID zilitambuliwa katika maji taka yaliyo fanyiwa vipimo katika kifaa cha vipimo katika eneo hilo.
Kiongozi wa NSW Gladys Berejiklian, ametoa wito maalum kwa watu wenye zaidi ya miaka 70 wakachanjwe.
Victoria
Victoria imerekodi kesi mpya 24 ndani ya jamii, tatu kati yazo ziki ungwa na milipuko inayo julikana. Kesi kumi zilikuwa ndani ya jamii, zilipokuwa katika hali ambukizi.
Kiongozi wa jimbo hilo Daniel Andrews ameomba pawe ongezeko yavipimo hususan, katika maeneo ya vitongoji vya St Kilda, maeneo ya Port Phillip na Bayside yaki jumuishwa.
Hali ilivyokuwa nchini Australia katika masaa 24 yaliyo pita
- Wilaya ya ACT imerekodi kesi mpya 17 ndani ya jamii, hali ambayo imefikisha idadi kamili ya kesi mjini Canberaa 45. Kwa sasa kuna karibu .
- Northern Territory haija rekodi kesi yoyote ndani ya jamii, kutoka vipimo 1,846 vilivyo fanywa jana.
- Queensland imerekodi kesi moja ndani ya jamii, iliyo kuwa katika karantani nyumbani.

Source: ALC
Karantini, safari, zahanati za vipimo na malipo ya janga
Karantini na masharti ya vipimo husimamiwa nakutekelezwa na serikali zamajimbo na wilaya:
Kama unataka safiri ng'ambo, unaweza omba ruhusa mtandaoni. kwa taarifa zaidi kuhusu masharti yakuondoka Australia. Kuna hatua za mpito kwa safari zakimataifa ambazo hutathminiwa mara kwa mara na serikali, nakuchapishwa kwenye tovuti ya .
- Pata taarifa za habari na maelezo katika zaidi ya lugha 60 hapa
- Pata miongozo inayo faa kwa jimbo na wilaya yako hapa: , , , , , , .
- Pata hapa taarifa kuhusu .
Tazama rasilmali zilizo tafsiriwa nakuchapishwa na huduma ya mawasiliano ya Afya ya tamaduni nyingi ya NSW:
Zahanati za chanjo katika kila jimbo na wilaya:
Taarifa kuhusu malipo ya janga katika kila jimbo na wilaya: